Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, September 11, 2014

MATUKIO BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO JIONEE HAPA

PG4A5083Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba,  Samuel Sitta akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephene Wasira (kulia), Bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



PG4A5091Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment