Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 22, 2014

MBEYA CITY SERENGETI FIESTA HIYOOOOOOOO IMEWADIA NI TAR 26.09.2014



Wakazi wa Jiji La Mbeya Wakifuatilia Tamasha La Serengeti Fiesta Ndani Ya uwanja wa sokoine Hii ilikuwa ni mwaka jana 2013
 Haya tenaaaaa Wakazi wa Jiji la Mbeya Serengeti Fiesta Hiyoooooooo inanukia kwa sanaaaaaa……Ni tar 28.09.2014 ndani ya Jiji Lenye ukijani wa kutosha.Si yakukosa kabisa kwa wakazi woteee wa Mbeya City(Green City.Wasanii Kibaoo Kama…. Watakuwepo kupagawisha vya kutosha na bila kusahau kwenye jukwaaa kutakuwa na kila aina ya burudani na staili kalii kuliko.Usikoseeeeeeeeeeeeee Mana mwaka jana ilikuwa ni Shidaaaa sana pale sokoine Stadium  na mwaka huu tunasambaza upendooooo.Shuhudia picha ilivyokuwa mwaka jana
Nyomiiiii la Kutoshaaaa Wakifurahia Burudani Ndani ya uwanja wa Sokoine hii ilikuwa ni Mwaka jana  2013
BOFYA HAPA KUSOMA LIST YA WASANII WATAKAOPIGA SHOW MBEYA



Godzilla
TID
Linex
Mr Blue
Madee
Stamina
Barnaba
Ney Wa Mitego
Linah
Vanessa Mdee
Mo Music

Baraka Da Prince

No comments:

Post a Comment