Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 23, 2014

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAWAKOMBOA VIJANA MKOANI PWANI‏

7Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Pwani Pauline Mrango akisoma Hotuba ya makabidhiano ya mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana katika halmashauri zote za mkoa wa Pwani.
Shirika la Nyumba la Taifa limetoa mashine hizo zenye gharama ya zaidi ya shilingi milioni 12 pamoja na mafunzo kwa vijana ya wiki mbili ambapo baada ya kumaliza mafunzo Shirika litatoa msaada wa shilingi laki tano kwa kila kikundi kama mtaji , yMakabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Kibaha wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu .Abdulrahman Kinana.
1
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa pwani Pauline Mrango kwa kutoa mashine 28 za kuwasaidia vijana. 



2
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali zilizotolewa na shirika la nyumba la Taifa kwenda kwenye halmashauri zote za mkoa wa Pwani. 3
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea risala kuashiria makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali zilizotolewa na shirika la nyumba la Taifa kwenda kwenye halmashauri zote za mkoa wa Pwani. 6
Hizi ni baadhi ya mashine 11 12 13
Baadhi ya wafanyakazi wa NHC.

No comments:

Post a Comment