Chege, Temba, Aslay pamoja na kundi zima la Mkubwa na Wanawe
Jumatano hii walitembelea katika wodi ya watoto ya hospitali ya Temeke jijini
Dar es Salaam na kutoa misaada mbalimbali.
hata mke wangu anajifunguliaga hapa pia mimi nilikuwa mtoto na katika show yetu pengine wazazi waliopo hapa walipenda kufika lakini kutokana na kuuguza wakashindwa kufika. Na hii hatutofanya wilaya hii tu tukipata kingine kidogo basi tutapeleka na kwingine na hii isiwe sisi tumefunga milango wajitokeze na wengine kusaidia,” alisema.










No comments:
Post a Comment