Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 10, 2014

TUNAOMBA RDHI KWA PICHA::MAMA MMOJA AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA LORI MAENEO YA MBEZI



 Huu hapo juu ni mwili wa marehemu ambaye amegongwa na gari kubwa aina ya lori lenye namba za usajiri wa T 277 CLY na kupoteza maisha yake katika eneo la Mbezi Tank bovu leo.

 Hili hapo juu ndilo gari ambalo limemgonga mwana mama tajwa hapo juu.


Mwili wa marehemu ukiwa umekusanywa katika sehemu moja, ambapo mwana mama huyu alikatika mguu wake mzima wakati akiburuzwa na gari hilo kwenye rami.


Kwa hisani ya Scofield.

No comments:

Post a Comment