Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 26, 2014

VIDEO: PASTOR ALIYEWALISHA MAJANI WAUMINI WAKE, SASA AWANYWESHA PETROLI



Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol. Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu.
Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha. Na sasa anawataka waumini wake kunywa petroli kwa madai kuwa itageuka kuwa juice ya nanasi. Tazama hii video hapa chini

No comments:

Post a Comment