Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 9, 2014

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAAHIRISHA MGOMO

Wafanyabiashara hao wakiwasikiliza viongozi wao (hawapo pichani).
Wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam waliokuwa katika mgomo wa kupinga matumizi  ya mashine za Kodi za TRA (EFD), Jana asubuhi 


wamekutana na viongozi wao ambapo wamekubali kufungua maduka huku suala lao likitafutiwa ufumbuzi zaidi.

No comments:

Post a Comment