Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, October 4, 2014

BAADA YA KUPIGWA MADONGO KUWA ALIKUWA ANADANGANYA WEMA SEPETU AMEONESHA KADI YA GARI ALILONUNULIWA NA DIAMOND PLATNUMZ

 
"Yes…. Not only aada ya jana mwanadada wema sepetu kupewa zawaidi ya Gari aina ya NISANI -Murano....ilivumu kuwa iliilikuwa zuga tu..kutokana na kile kinachodaiwa ni kutafuta KIKI...Sasa leo kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM manager wa mwanadada huyu, Martin Kadinda amefunguka baada ya kutupia picha hii ;
.Murano from ya baby @diamondplatnumz this BMW is yours yes…. Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it… this car came from kazi ndogo tufanyazo na support kubwa ya watu who wish you the best always… peke yangu nisingeweza bila support yao. One thing you should know nimejitolea kufanya kazi na wewe

No comments:

Post a Comment