Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 22, 2014

MANENO MAZITO TOKA KWA CHEGE KUHUSU KIFO CHA YP


Saidi Juma maarufu kwa jina la Chege Chigunda Mtoto wa Mama Saidi kutoka TMK ameumizwa sana na Msiba wa mwenzake Yessay Ambilikile Y.P na Kuyasema haya...
"Innalilahi wa inna ilaih rajiun,sikuwahi kufikiria itatokea siku usiwe karibu yangu nilipigania sana uwepo wako katika kundi letu,wewe ndio ilikua remote yangu ktk uimbaji machozi yananitoka kila dakika nakumbuka mengi naujua msaada wako 


kwangu,tulipendwa sana kwa sauti zetu kufanana my brother,mungu ndio anajua kwanini ulipojitoa kundini nilipigania mpk uongozi

ukakurudisha,umeniacha ktk Hali ngumu sana na kuiacha Tmk wanaume family ktk majonzi makubwa yasio weza kufutika kirahisi hatuna la kufanya tena kwa sasa tunachofanya nikubaki tunakuombea kwa mwenyezi mungu akupunguzie adhabu na kukuweka mahala pema peponi R.I.P YP----pumzika salama my brother"...R.I.P YP Tutakukumbuka Daima Son..

No comments:

Post a Comment