Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 30, 2014

Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of 


the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani


Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

No comments:

Post a Comment