mjini na Lori la mafuta.Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo
ni mwendo kasi wa dereva wa hiace (gari la abiria) iliyokuwa ikijaribu kupita
magari mengine ndiyo akakutana uso kwa uso na lori hilo. Habari kamili
zitawajia punde.
WAZIRI JAFO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA COMESA NCHINI BURUNDI
-
*Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani S. Jafo leo tarehe 31
Oktoba 2024 amemuwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Wakuu
wa...
26 minutes ago
No comments:
Post a Comment