Ilikua
ni zamu ya Kigoma ( 89.3 CloudsFM) kusambaziwa upendo wa tamasha la
Fiesta ambalo mwaka huu wa 2014 limefanyika kwenye miji 18 ambapo Kigoma
na Mtwara ndio imekua miji ya mwisho kulishuhudia likiongozwa na Linah,
Madee, T.I.D, Stamina, Rachel, Ali Kiba, Linex, Baba Levo, Mr. Blue,
Chege na Makomando. - Picha Na
TBT yakutana na wadau wa chai kujadiliana uendelezaji wa zao
-
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV
Bodi ya Chai Tanzania (TBT) imekutana na wa wadau wa Chai katika
kujadiliana na kuweka mikakati ya uendelezaji wa zao hilo.
...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment