Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 20, 2014

Tazama Picha Za Mkutano wa chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA Iringa Mjini Jana


Wazungumzaji wakuu kutoka kulia ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar(Kulia) na Dr Wilbroad Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa (Katikati), Mch Peter Msigwa-Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.


Hawa ni wananchi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza kwenye mkutano huo



Picha na Mathias Canal (P.T)

No comments:

Post a Comment