Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, November 20, 2014

CHAMELEONE:DIAMOND NIMSANII MCHANGA SIWEZI KUMUOMBA COLLABO

Chameleone amesema kuwa application ya Mziiki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika Mashariki.

“Lakini we talked about business na hatujamalizana nao. Lakini sio eti mimi nimempigia (Diamond) kumuomba tufanye collabo na kitu kama hicho,” amesema Chameleone. “Wale wa Mziiki app ndo 


wanahitaji mimi na yeye tufanye kazi ya anthem ya Mziiki app. Wanajaribu kuunganisha yeye na mimi tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na nimemuomba collaboration , that’s not right,”

No comments:

Post a Comment