- “Stress” hukufanya uzeeke mapema
- Hupunguza uwezo wa kufikiri. “Stress” hufanya ubongo kuwa dhaifu katika kufikiri.
- Hupelekea kupoteza kumbukumbu na pia uwezo wa kutunza vitu vipya kichwani hupungua.
- “Stress” hupambana na mfumo wa ulinzi wa mwili na hivyo kukufanya uwe katika hatari kubwa ya kupata magonjwa tofauti na mtu asie na “stress” sana.
- “Stress” huzipa uhai seli zinazosababisha kansa mwilini na hivyo kukufanya kuwa na hatari zaidi ya kupata kansa.
- Huharibu “mood” yako na kukufanya muda wote kuwa ni mtu wa huzuni tu.
- Husababisha ngozi ya mwili kuzoofika. “Stress” huzalisha homoni iitwayo “glucocorticoid” ambayo huzoofisha ngozi na pindi “stress” zikiisha na yenyewe hukata.
- Huathiri afya ya meno kwa sababu watu wengi huishia kusugua meno yao pindi wakiwa na “stress”.
- Husababisha maumivu makali ya kichwa na hii ni kutokana na mawazo sana na kichwa huwa kimebeba mzigo mzito mno.
- Hupunguza mvuto wa kufanya mapenzi na ni mbaya sana hasa kwa wale walio katika ndoa kwani hupelekea kutokufurahia tendo la ndoa kabisa na pia huweza pelekea kuvunjika kwa ndoa.
Afya : Wadau washauri Bajeti mtazamo wa kijinsia kusaidia watoto Njiti
-
Na Deogratius Temba, Dar es salaam
Mtandao wa Haki ya afya ya uzazi umeshauri Serikali kutenga bajeti yenye
mtazamo wa Kijinsia katika sekta ya afya ili...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment