Kiukweli,
haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyez Mungu na support
kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika Historia mpya
kwenye Ramani ya mziki wa Africa...Hii inaonyesha ni jinsi gani Umoja ni
nguvu na pia jins gani mziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele
unaweza kufika mbali zaidi... Shukran sana kwa @channeloafrica @channelotv
kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media
zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila
kuwasahau wapendwa wangu #TeamWasafi #TeamChibu #TeamPlatnumz
#TeaMMondi toka instagram, Facebook, Whatsapp, Twitter na kadharika,
wakiongozwa na kamanda langu @kifesi
... Nawashkuruni sana sana 😓😟...najua nikiwatag mimi wenda nikasahau
mmoja, tafadhali naomba nisaidieni kuwatag hapa waweze kuona shukran
zangu kwao...
WAANDISHI WASAIDIZI NGAZI YA KATA KUTOKA MASASI, NANYUMBU WANOLEWA
-
*Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
leo Januari 22,2025 ametembelea mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi
ng...
59 minutes ago
No comments:
Post a Comment