Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 17, 2014

PICHA ZA AJALI YA BASI LA SAI BABA LILILOPINDUKA LEO ASUBUHI CHALINZE




Basi la Sai Baba Express limepata ajali eneo la Pingo, Chalinze leo asubuhi baada ya kutaka kulipita basi lingine wakati mvua ikinyesha na kupelekea basi hilo kupinduka. Basi hilo lilikuwa linatokea Dar likielekea mkoani Mbeya. kwa taarifa za mapema zinasema kuwa akuna mtu aliyefariki katika ajali hiyo



No comments:

Post a Comment