Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie
habari Moja Kwa Moja .Unajua Rekodi ya kwanza iliyovunjwa ya watu kutembea juu
ya kamba Afrika?Siku chache baada ya yule jamaa aliyevunja rekodi ya kutembea
kwenye kamba umbali mrefu akiwa amefunga macho kwa kitambaa, leo kuna story ya
hawa wengine ambao huenda rekodi yao ikawa ya kipekee pia kutokana na mazingira
ambayo walifanikisha zoezi hilo.
Safari hii rekodi hiyo imevunjwa Afrika, ambapo Lukas Irmler
kutoka Ujerumani naReinhard Kleindl kutoka Austria walifunga safari na kuingia
Afrika na kuvunja rekodi hiyo katika maporomoko maarufu ya Victoria Falls
yaliyopo mpakani mwa Zambia na Zimbabwe.
No comments:
Post a Comment