Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 16, 2014

AJALI YA BASI YAUA SABA, NA KUJERUHI TABORA

Watu saba wamefariki Igunga, mkoani  Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans  lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka.


   Basi hilo limepinduka leo majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.

No comments:

Post a Comment