Kanisa la Uingereza limemchagua askofu wa kwanza
mwanamke.Mchungaji Libby Lane atakuwa askofu wa Stockport mnamo mwezi January
,na kumaliza ukiritimba wa wanaume kuwa maaskofu katika kanisa hilo.Amesema
kuwa amefurahishwa na hatua hiyo.Kanisa la Uingereza liliwachagua wanawake mara
ya kwanza kama makuhani mnamo mwaka 1994.Wanawake tayari wameruhusiwa kuwa
maaskofu katika maeneo mengine ya jamii ya kianglikana ,ikiwemo Marekani na
kusini mwa Afrika.
CHANZO: BBC SWAHILI
No comments:
Post a Comment