Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 9, 2014

DMV All Stars - Najivunia

Disemba 9, 2014 ni siku ya uhuru wa Tanganyika. Wakati taifa la Tanzania linaadhiminisha miaka 53 ya uhuru, tunapenda kuwasilisha rasmi wimbo “Najivunia”. Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishia Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania. Wasanii wenyewe ni: DMV All Stars:

No comments:

Post a Comment