Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 16, 2014

HASSAN KESSY WA MTIBWA AMEJIUNGA SIMBA KWA MILIONI 10..

kessySimba imemsajili beki wa kulia wa Mtibwa Sugar Hassan Kessy kwa mkataba wa miaka miwili,Kessy amepewa shilingi milioni 15,000,000 na mshahara wa 1,200,000 kwa mwezi,

Mtibwa Sugar imevuna kiasi cha shilingi milioni 10 kutoka klabu ya Simba, beki  wa Simba Miraji Adam pia amekwenda Mtibwa Sugar kwa mkopo akiwa ni sehemu ya uhamisho huo

No comments:

Post a Comment