Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.
Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasimi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.
Meza kuu
Mtendaji Mkuu wa Taasisi
hiyo, Shah Hanzuruni akizungumza jambo
Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA), wakiwa katika mahafali yao hayo.
Baadhi ya wahitmu wa Chuo hicho, wakitunukiwa shahada zao wakati wa mahafali yao hayo.
Wahitmu wakitunukiwa shahada zao wakati wa mahafali yao hayo.
Wahitmu wakitunukiwa shahada zao wakati wa mahafali yao hayo.
Wahitmu wakitunukiwa shahada zao wakati wa mahafali yao hayo.
Mdau wetu Nicko Anthony baada ya kula nondo kwenye mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA)
Mdau wetu Nicko Anthony(wa kwanza kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja wahitimu wenzake
Baadhi ya wahitimu wakiwa kwenye picha ya pamoja
Mdau wetu Nicko Anthony akiwa kwenye picha ya pamoja na Teddy mara baada ya kumalizika kwa sherehe hizo
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mahafari hayo
Justine Kajerero(kushoto) akiwa pamoja na mdau wetu Nicko Anthony
No comments:
Post a Comment