Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 8, 2014

MASHINDANO YA MICHEZO YA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI YAANZA JIJINI ARUSHA


SAM_0498Mbunge Ester Matiko wa Tanzania  akijiandaa kukimbia mbio za mita 400,ambapo aliwatimulia vumbi wabunge wenzake kutoka Kenya, Uganda na bunge la Afrika Mashariki (Eala).
SAM_0469Kaimu Spika wa bunge la EALA Chris Opoka akizungumza katika ufunguzi wa mashindano hayo
SAM_0470 Mkuu wa wilaya Arumeru Mhe Nyirembe Munasa afungua mashindano ya michezo kwa wabunge ambapo aliwataka wachezaji kuacha kuamini imani za kishirikina na badala yake wamtegemee Mungu kwani michezo ni kazi kama ajira nyingine


SAM_0440SAM_0452
SAM_0495Mkurugenzi wa KeyMedia Agency Limited Bi Anna Lazaro akiwa na wabunge wa Tanzania leo jijini Arusha katika mashindano ya michezo mbalimbali yaliyoandaliwa na EALA(East African Legislative Assembly).

No comments:

Post a Comment