Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 1, 2014

MISA YA KISWAHILI YA THANKSGIVING YAFANYIKA BALTIMORE, MARYLAND‏

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika leo Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini Marekani
Padre Honest Munishi akiongoza misa.

Balozi Liberata Mulamula akiwashukuru mapadre na kuwaomba Watanzania waishio nchini Marekani washikamane wawe kitu kimoja



Balozi Liberata Mulamua akifuatilia Misa.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:

Post a Comment