Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha
Bagamoyo alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi
ya mabasi ya Bagamoyo.chanzo GPL
Kimataifa : Rais wa Singapore awasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku
tatu
-
Rais wa Jamhuri ya Singapore Mhe.Tharman Shanmugaratnam, amewasili nchini
kwa Ziara ya Kitaifa ya siku tatu, Juni 8-10, 2026.
Katika Uwanja wa Ndege ...
1 hour ago




No comments:
Post a Comment