Miss World 2014, Rolene Strauss, Jana amerejea kwao Johannesburg nchini Afrika Kusini baada ya Jumapili iliyopita kushinda taji hilo jijini London, Uingereza.
Mrembo huyo amepokelewa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa O.R. Tambo jijini humo na maelfu ya mashabiki waliotaka kumuona. Chini ni baadhi ya picha za mapokezi yake.
MATUKIO; ASKARI WAWILI WAJERUHIWA AJALI YA MOTO MLANDIZI
-
Na Khadija Kalili, Michuzi Tv
ASKARI wawili wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji wamejeruhiwa wakiwa katika
harakati za kuokoa marehemu waliokuwa wamenasia kweny...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment