Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 29, 2014

PICHA: MVUA YANYESHA DAR NA KUPELEKEA MAFURIKO BAADHI YA MAENEO YA JIJI



Mvua ikiendelea kunyesha makutano ya Fire jijini Dar leo
  Foleni likiwa limeshika kasi baada ya mvua kunyesha jijini Dar


 Picha hapa chini zinaonesha baadhi ya maeneo ya Posta yakiwa yamejaa maji mpaka kupelekea msongamano kwa magari pia ilikuwa kero kwa waenda kwa miguu



No comments:

Post a Comment