Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 5, 2014

PICHA::KIGOGO AZIKWA NA GARI YAKE AINA YA HUMMER SUV JEEP KABURINI

Picha za mtu aliyezikwa ndani ya gari lake la Hummer SUV jeep nchini Nigeria
Katika siku za hivi karibuni picha za mtu ambaye alizikwa ndani ya gari aina ya Hummer SUV Jeep nchini Nigeria zimekuwa zikienea katika mitandao ya kijamii na kuzua mjadala miongoni mwa raia wengi wa taifa hilo.
Picha hizo zilitoka katika mtandao wa twitter wa msichana mmoja raia wa Kenya anayetumia jina @Sankorie katika mtandao wake ambaye alishangazwa na kusema kuwa wanaume wa Nigeria ni matajiri hadi wengine huzikwa ndani ya magari 


yenye thamani ya juu,swala ambalo haliwezi kufanyika nchini Kenya.

Je, unadhani ni kweli kwamba mtu anaweza kuzikwa ndani ya gari lake?

No comments:

Post a Comment