MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’
leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini
Dar es Salaam kufuatia kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kesi ya staa huyo imeahirishwa
mpaka Januari 15, 2015 itakapotajwa tena.
MHE. MILLYA ATEMBELEA KITUO CHA UTOAJI HUDUMA KWA PAMOJA CHA NAMANGA
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki
Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.) ametembelea Kituo cha Utoaji Huduma kwa
Pamoja Mp...
50 minutes ago


No comments:
Post a Comment