Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 22, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA MAAFISA WA JESHI

unnamed
Amiri Jehi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Ally Mwinyi(kushoto) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana.Katika mradi huo jumla ya nyumba elfu kumi zinatarajiwa kujenga katika kambi mbalimbali za jeshi nchini(picha na Freddy Maro) 
unnamed1

No comments:

Post a Comment