Shishi Baby akifanya mambo yake huku mashabiki wakiwa na midadi.
Msanii Shilole akiburudika vyema na dada yetu aliyekuja toka Norway kujumuika nasi katika kupata burudani ya Shishi Beibii.
Wachaa weeee.
Msanii Shilole akipata kumbukumbu ya picha.
Shilole akiwa na Balozi wa Madagasca nchini Belgium.
Dada Rose akiwa na Shilole
No comments:
Post a Comment