Magolikipa
wa Simba, Manyika Peter na Ivo Mapunda wakifanya mazoezi ya viungo
kabla ya mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya The Express ya
Uganda, katika mchezo huo timu hizo hazikufunga.
(Picha zote na Francis Dande)
Katongole Henry akimtoka mshambulia wa Simba, Ramadhani Singano 'Mess'.
Beki wa Simba, Nasoro Masoud akimtoka mchezaji wa The Express ya Uganda wakati wa mchezo wa
kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ramadhani Singano 'Mess' akitafuta mbinu za kumtoka beki wa The Express, Katongole Henry.
Kipa wa The Express ya Uganda, Mutumba Ivan.
Elius Maguri akipata matibabu baada ya kuumia.
No comments:
Post a Comment