Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, December 28, 2014

WHATSAPP SASA KUONGEZEWA UWEZO WA KUPIGA SIMU NA KUPOKEA



WhatsApp inajipanga kuongeza upigaji na upokeaji simu (voice calls) kwenye app yake kwa mara ya kwanza.
Watumiaji wa app hiyo wataweza kupiga simu kwa watu walionao kwenye contacts vile vile kama wanavyoweza kuwatumia ujumbe.
Mtandao wa Uholanzi, AndroidWorld umeweka screenshots za majaribio ya huduma hiyo.

No comments:

Post a Comment