Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 21, 2014

NEW HIT MUSIC::SIMAMA BY MO MUSIC DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA


BREAKING NEWSSS::MSANII YP AFARIKI DUNIA,NI YULE ALIYEKUWA TMK WANAUME

Msanii YP wa kwanza kulia akiwa na Dogo Asley enzi za uhai Wake
Msanii 'YP' toka kundi la TMK Wanaume Family amefariki dunia jana usiku katika hospitali ya Temeke ambako alikuwa akipatiwa matibabu akisumbiliwa na kifua kwa muda mrefu lakini hali ilikuwa mbaya katika wiki mbili kabla ya kifo chake.
Meneja wa TMK Wanaume Family Said Fela 

TAZAMA PICHA 8 JINSI ILIVYOKUWA MAHAKAMANI WAKATI OSCAR PISTORIUS ALIPOHUKUMIWA MIAKA 5 JELA


FUATA LINK HII KUMPIGIA KURA DIAMOND KWENYE KIPENGELE CHA BEST AFRICAN ACT

Hii ndio link ya kunipigia kura kwenye tunzo za MTV EMA http://base.mtvema.com/vote?category#cat=best-african
Ukishabonyeza tu shuka chini utaona picha yangu na chini ya Jina langu Wameandika neno VOTE, 

HOT NEWSS::MWANARIADHA OSCAR PISTORIUS AHUKUMIWA JELA MIAKA 5

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita bila ya kukusudia.
Jaji aliyetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu 

GARI AINA YA TOYOTA KLUGER INAUZWA

 MODEL NI YA MWAKA 2002 TOYOTA KLUGER
UWEZO WA ENGINE NI 2360 CC
IMETEMBEA KILOMITA 170000
BEI NI MILIONI 17 MAELEWANO YAPO 
MAWASILIANO NI 0713242888

MFANO WA KUIGWA: Msanii Mkongwe Insp. Haroun atimiza miaka 10 ya ndoa yake


MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Haruna Kahena ‘Inspector Haroun’ au ‘Babu’ anatarajiwa kufanya shoo ya kuadhimisha miaka kumi ya ndoa yake, itakayofanyika Octoba 25 katika ukumbi wa Mpoafrika Devis Corner, Temeke Dar es Salaam.
Kiingilio katika shoo hiyo iliyopewa jina la ‘Usiku wa Wakongwe’ kitakuwa sh 5,000 na itaanza saa mbili usiku na kuendelea ambapo atasindikizwa na wakongwe kibao.
Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Inspector alisema kuwa, anaomba mashabiki 

MAMBO 9 UNAYOTAKIWA KUYAJUA KABLA HUJAACHA KAZI ULIYONAYO




Inawezekana una sababu za kutosha za kukusababishia ufanye maamuzi ya kuacha kazi, kabla ya kufanya maamuzi hayo soma mambo yafuatayo halafu ufanye maamuzi.

1. Kazi uliyonayo inaweza kukusaidia kupata kazi ile unayoipenda maishani mwako.
Unaweza kushangaa hii itakusaidiaje? Kuendelea kufanya kazi usiyoipenda wakati mwingine inakusaidia kupata kazi unayoipenda, hii inamaanisha baadhi ya majukumu uliyonayo ni ya ile kazi ambayo unapenda kufanya. Kama hujui kwa kwenda ni ngumu kujua utafikaje huko, ila unaweza kutumia ulichonacho kufika kule unataka kufika. Hivyo usiache kazi kabla ya kupata kazi au huna kitu cha kufanya.


2. Inakusaidia kulipa gharama za maisha

Hiki ni kitu cha msingi kwa watu wengi labda kama wewe kifedha umestawi. Kazi uliyonayo ni sehemu tu ya malengo yako mafupi, pale unapojua malengo yako ya muda mrefu ndipo unapogundua kazi uliyonayo inatakiwa kulipia gharama za maisha kama maji, umeme, chakula usafiri n.k Mpaka pale utakapojipanga kufanya maamuzi ya muda mrefu.

Mchezaji afariki akisherehekea bao

Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea bao lake.
Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23 na alijeruhi uti wake wa mgongo baada ya kupiga pindu uwanjani akisherehekea bao lake la kusawazisha kw atimu yake Bethlehem Vengthlang FC dhidi ya Chanmari West FC.
Biaksangzuala alikimbizwa hospitalini na kufanyiwa

OMMY DIMPOZ ANENA BAADA YA PICHA ANAYOONEKANA AKISHUKA KWENYE TRENI KUSAMBAA KWENYE MITANDAO



 Baada ya kusambaa kwa picha ya Ommy Dimpoz anayoonekana akiwa kama kijana wa kijijini aliyetua mjini Dar es Salaam na watu wengi kuhisi ni picha yake ya zamani aliyopigwa wakati anatua Dar (kitu ambacho si kweli), ameamua kuelezea hisia zake.

Akiweka picha nyingine kwenye Instagram lakini awamu hii akiwa na Vanessa Mdee (ambayo inaonesha kuwa ni moja ya kazi zake zitakazokuja), Ommy amesema amejifunza mengi kutokana na jinsi watu walivyoiongelea picha hiyo.
Ommy na Vanessa Mdee
“Wiki iliyopita nimejifunza mambo mengi sana baada ya ile picha niliyodandia treni kusambaa kwenye mitandao kuna watu waliongelea kama utani, kuna watu walinikebehi, wengine waliweka kwenye mitandao na kunitusi kabisa,”ameandika Ommy.

EBOLA::HUU NDIO UTARATIBU WA MAZISHI

 Ugonjwa wa Ebola unahitaji hatua za haraka na umakini katika kuhifadhi miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hii ina maana kuwa hatua hiyo inaondokana na taratibu za kawaida zilizozoeleka za mazishi katika nchi zilizoathirika, ikiwemo matumizi ya mifuko mikubwa ya plastiki ambayo ni mbadala wa majeneza
Mabadiliko haya yanawaathiri wafanyabiashara wanaojipatia kipato kwa kutengeneza majeneza na wanaotoa huduma za mazishi Taarifa yake Mwandishi wa BBC mjini Monrovia nchini Liberia amebaini kuwa biashara hiyo imedorora.
Wafanya biashara wa majeneza wanasema kutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola wateja hawapatikani kwa wingi sababu ikielezwa kuwa watu waliopoteza maisha huhusishwa na maradhi ya ebola.

MSHIRIKI TOKA TANZANIA AANZA MAMBO NDANI YA BIG BROTHER JIONEE HAPA

MUONGOZAJI WA FILAMU BENII OTIENO MDOGO WA MAREHEMU "GEORGE TYSON" AFARIKI DUNIA

Mdogo wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uhai wake.
Mdogo wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’

aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' amefariki dunia ghafla katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar mchana leo. Msiba upo Sinza Vatican

HAYA NDIO MANENO YA DAVIDO BAADA YA SHOW YA FIESTA

Msanii Kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido' Ameweza kuwashukuru Watanzania kwa mapokezi waliyompatia pia pamoja na kushare jukwaa moja na Msanii kutoka Marekani T.I amesema hayo kupitia ukurasa wa Istragram pindi alivyokuwa anaondoka nchini Tanzania.
"Kwa heri Tanzania 26464! it was great sharing the stage with trouble man 31...thank you Clouds fm for napkin it possible and bless my brother @diamondplatnumz for welcoming me well" Aliandika 

HAYA KAA MKAO WA KULA RADIO MPYA YA GHETTO FM KUANZA KUSIKIKA DAR


NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION.

MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION
 
A CONSTITUENT COLLEGE OF THE UNIVESITY OF DAR ES SALAAM.
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES.
Mkwawa universities college of education MUCE a constituent college of the University of Dar es salaam invites applications from suitable and qualified candidates to fill the fallowing vacant post:-

ACADEMIC STAFF
1. SENIOR LECTURE (3 POSTS)
a. Areas of specialization
i. Philosophy of education (1 post)
ii. Any of the fallowing disciplines: linguistic science, Economic, Geography, history, development studies or kiswihili (1 post)
iii. Any of the fallowing discipline: physics, informatics’, biology, chemistry ormathematics (1post) 
b. Qualification and experience
The applicant shall be a holder of a PhD Degree; master’s degree with an overall GPA of not less than 4.0 and bachelor degree with GPA of 3.8 in the relevant field.


PICHA ZA MTUHUMIWA WA ULIPUAJI MABOMU ARUSHA ALIPOUAWA NA POLISI WAKATI AKITOROKA

Polisi mkoani Arusha yamuua kwa risasi mtuhumiwa Namba Moja wa milipuko ya mabomu katika mikusanyiko jijini humo na umwagiaji watu tindikali baada ya kujaribu kutoroka akiwa njiani kwenda kuonesha bomu alilokuwa amelificha maeneo ya Kondoa mkoani Dodoma.

MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE NA WEST BROM


Daley Blind spared Manchester United's blushes with a late equaliser to earn his side a point against West Brom

Dutchman Blind celebrates his goal that prevented United losing for the third time in the Premier League this season
Saido Berahino curls the ball home to put West Brom back in front in the second half

DAWA YA KUKAMATA WEZI YAZUA BALAA


Watu saba kati ya 100 Kijiji cha Kenyamanyori, Kata ya Turwa, Wilaya ya Tarime walioshiriki kunywa dawa ya mganga wa kienyeji aliyeletwa kutoka Busia nchini Kenya wameingia kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutimiza masharti ya kulipa Sh3 milioni kila mmojaWanakijiji hao walikusanyika juzi asubuhi baada ya kengele ya kijiji kugongwa na uongozi, huku wakieleza kwamba ilikuwa siku ya nne kwa kengele hiyo kugongwa lengo likiwa ni kuzungumzia wizi unaoendeshwa na watu wasiojulikana.Inadaiwa wizi wa kuvunja maduka umekithiri kijijini hapo, baada ya wanakijiji hao kuwasili eneo la mikutano, walielezwa kusudio la kengele kuwa ilikuwa ni kutokana na kukithiri kwa matukio ya uhalifu.


MENEJA WA MSANII DIAMOND AZUNGUMZIA TUKIO LA KZOMEWA KWENYE FIESTA


Diamond alipanda na gwanda za jeshi
Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amesema haoni kama wameathirika na kundi la watu waliomzomea msanii huyo wakati akitumbuiza Jumamosi hii kwenye show ya Serengeti Fiesta, Leaders Club jijini Dar es Salaam. Tale amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa walikuwa na taarifa kuhusu mpango huo hata kabla ya show na hivyo walijiandaa. “Tulikuwa tumemjenga kisaikolojia, kwahiyo hiyo ni sehemu ya kazi na mashabiki ingekuwa wanapiga kelele kama tumekosea show