Arsenal wamemasajili kiungo Krystian Bielik kutoka klabu ya Legia Warsaw ya Poland kwa pauni milioni 2.4. Bielik, 17, ambaye alifanya vipimo vya afya wiki iliyopita, alihamia Legia akitokea Lech Poznan mwaka jana na amecheza mara sita msimu huu. Arsenal wamesema mkataba huo "utakamilika baada ya mchakato wa kawaida kumalizika". Bielik, ambaye aliwahi kuichezea timu ya taifa ya Poland ya chini ya miaka 16, anaweza kucheza kama kiungo wa kati, au beki wa kati.
TUME YATOA NENO KWA WAANDISHI WASAIDI NA WAENDESHA VIFAA VYA BVR MBEYA
-
*Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa)
Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na
waendesha...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment