Wanajeshi zaidi ya 300 wa Jeshi la wananchi wa Tanzania,
wamefanikiwa kudhibiti sehemu ya ardhi iliyobaki isiendelee kumezwa na maji ya
bahari kwa kutumia mawe na vifusi vya mchanga katika eneo la Msimbati lililopo
Mtwara vijijini.
Kwa upande wake kaimu mkuu wa mkoa Mtwara Ponsiano Nyama
ametaka wananchi wa mikoa ya
Mtwara kuwa watulivu serikali inafanya kila juhudi
kuhakikisha dhoruba hiyo haileti madhara kwa mikoa ya Mtwara na Lindi, huku
mhandisi wa kiwanda kilichokaribu na bahari Peter John akiishukuru serikali kwa
hatua walizochukua.
No comments:
Post a Comment