Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, January 11, 2015

Marehemu Fidel Odinga Alikuwa ni Zaidi ya Kambi ya Jeshi Tizama Silaha zilizokutwa kwake

Fidel Odinga na mkewe
Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndaniya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi,

Pia walifanikiwa kukuta jacket proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku maarufu kama and night vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo

No comments:

Post a Comment