Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ndio mwenyekiti mpya wa Umoja
wa Afrika -Au
Rais mkongwe wa Zimbabwe Robert Mugabe, mwenye umri wa miaka
tisini, sasa ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa muungano wa Afrika-AU.
Wajumbe walimteuwa Mugabe kwa kauli moja katika mkutano wa
AU unaoendelea mjini Addis Ababa-Ethiopia.
Sasa Mugabe amechukua mahala pak mwenyekiti anayeondoka wa
muungano huo, Nkosazana Dlamini-Zuma.
Uteuzi wa Mugabe kuongoza muungano huo mkubwa ulio na
wanachama zaidi ya arubaini, sasa umeingiza doa ndani ya AU, kwani Mugabe hana
uhusiano mzuri na mataifa ya Magharibi, hasa baada ya kukaa uongozini tangu
Zimbabwe ilipojipatia uhuru mnamo mwaka wa 80.
No comments:
Post a Comment