Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 17, 2015

O.M.G:::SOMA MANENO MAZITO ALIYOANDIKA MSANII MABESTE KUHUSU KUTEGESHEWA AJALI NA MTU ANAYEMFAHAMU

Hiki ndo ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!!!!
Imebidi my wife Lisa Karl Fickenscher afunguke baada ya false story about her!

Naomba niweke clear about interview ya u heard aliyonifanyia soudy brown.....its true nimeumwa mda mrefu nilikua mtu wa hosp na kanisani tuu kumuomba Mungu anipe uzima! Nilijifungua vbaya then kuna mistakes zilifanyika wkt wa kujifungua zkaniletea matatzo! As usual cc wanawake tunakutana na meng wkt wa mimba na kujifungua! sitaki hata kukumbuka! ni kweli mtu wa karibu wa 

mabeste alijaribu kuniua mm na mtoto wangu!! Sitapenda kumtaja coz tulisham samehe!! Alicho kifanya huyo mtu alifungua nati za gari yangu akazilegeza...alitoa break za gari na alijaribu kututengenezea ajali ya kugongwa na roli! Thank God mtoto nlikua nimemuweka kwenye car seat amefunga mkanda na mm nilifunga mkanda....so nilipoona roli linatufata nilijitahid kulikwepa nikaenda kugonga ukuta.....so mm na mtoto tukapona tulihis ni gari tuu imezngua ila badae kuna mtu wa karibu alituambia ni flani aliyefanya na tulipomchunguza tulijua ni kweli mabeste alipo m face na evidence alikiri kweli na akaomba msamaha so sisi tukaendelea na life yetu!!! Inauma na sitak kukumbuka coz aliyefanya hivyo cjawai kumkosea kitu wala mabeste hajawai kumkosea!! Ila si kama alivyozungumza soudy brown kua nimerogwa!! Na aliponiuliza nimepigwa kipapai I thought ana maanisha ajali thats why nikaitikia!! Inawezekana soudy amepokea taarifa ambazo c sahihi na wkt ananiuliza akili yangu ili lenga ajali na kuumwa kwa mda mrefu nikajibu kama nilivyojibu ila badae tena naskia ni habari za kurogwa duh!! Thats a false news.

No comments:

Post a Comment