Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 29, 2015

PICHA 4::PROF LIPUMBA ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI JANA

Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana alipofikishwa kusjibu shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.
Prof Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana.


Mwanahabari kutoka DW akimhoji mmoja wa wanachama wa CUF. 
Kwa hisani ya Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment