Kipa mpya wa man united, victor valdes aliyeingia mkataba wa miezi 18 ameanza kazi rami na timu yake hiyo mpya baada ya kuwa ametamba na barcelona kwa kipindi kirefu. pamoja na valdez, kiungo daley blind naye amerejea mazoezini na kuungana na wenzake baada ya kuwa majeruhi kwa zaidi ya wiki moja.
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NA TPSF ZAFANYA KIKAO CHA MAJADILIANO
-
*Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imekutana na kufanya
mazungumzo na Uongozi wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Januari 22,2...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment