fidel Odinga ambaye alifariki nyumbani kwake ghafla baada ya kurudi kutoka matembezi na kufikia kumpumzika na hadi umauti ulipomkuta. Leo mwili wa marehemu Fidel Odinga umesafirishwa na Ndege ya jeshi la kenya Kenya Air Force hadi katika mji wa kisumu ambapo msafara wake utaanzia hapo hadi kwenye kijiji cha Opoda kilichopo kisumu Kenye na tayari kwa maziko siku ya kesho Jumamosi tarehe 8 January
WILAYA YA UBUNGO WAZINDUA KAMPENI YA 'UBUNGO USIKU KAMA MCHANA'
-
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hassan Bomboko akizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam leo Januari 24, 2025 kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa
Wila...
16 minutes ago
No comments:
Post a Comment