Mshambuliaji wa Simba, Danny Sserunkuma (kulia) akichuana na Aggrey Moris wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa katikati ya mabeki wa Azam FC.
Kikosi cha Simba.
Kikosi cha Azam FC.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitolewa katika uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania
Bara dhidi ya Azam FC iliyoisha kwa timu hizo kufungana bao 1-1. Mchezaji huyo
alikimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili akiwa amepoteza fahamu.
Benchi la Ufundi la Simba.
Benchi la ufundi la Azam.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao.
Danny Sserunkuma akichuana na Aggrey Moris.
No comments:
Post a Comment