Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 8, 2015

Picha::Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo


 Taarifa iliyotufikia  kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.

mmoja wa abiria hao alisema amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio katika kijiji cha Rufugu ambapo ndipo Treni ya mizigo ilipopatia hitilafu za kiufundi.
Baadhi ya Abiria hao wakiwa nje ya Stesheni ya Uvinza wakijadiliana.Picha na Mdau Lulela wa Habarika24 Blog.

No comments:

Post a Comment