Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 30, 2015

Rais Kikwete akutana na Rais wa Ufaransa Francois Hollande Jijini Paris

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa
maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28,
2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais
Francois Hollande katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs
L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo
na mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande
Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano
jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois
Hollande.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment