1. Kwa siku moyo huzalisha nguvu ambayo ina uwezo wa
kusukuma lori kwa umbali wa maili 20.
4. Nyangumi ajulikanae kwa rangi yake ya bluu (Blue whale)
ana moyo mkubwa wenye uzito upatao kilogramu 680.
5. Mshituko wa moyo wakati wa kufanya mapenzi ni kiasi
kidogo sana na huwatokea sana wanaume pindi watokapo nje ya ndoa.
6. Furaha, kukosa wasiwasi, mazoezi na mlo kamili husaidia
kuwa na moyo wenye afya bora.
7. Binadamu anakuwa katika hari ya kupata mshituko wa moyo
siku ya jumatatu asubuhi zaidi ya siku zingine zote.
8. Moyo unauwezo wa kuendelea kudunda hata ukiwa nje mwili
wa unachohitaji wenyewe ni hewa ya oksijeni tu.
9. Moyo wa mwanamke hudunda haraka zaidi ya moyo wa
mwanaume.
10. Kicheko hupelekea kiasi cha asilimia 20 ya damu
kuzunguka mwilini na kukufanya uongeze siku za kuishi kwa kutoa msaada zaidi
kwenye moyo.
No comments:
Post a Comment