Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, January 11, 2015

TAZAMA PICHA 6 JINSI MVUA ZILIVYOLETA KARAHA YA MAJI KUFURIKA

 Basi likipita kwenye maji yaliyofurika.
 Mkazi wa jiji akikatiza kwenye barabara iliyojaa maji eneo hilo


Baadhi ya maeneo na vibanda yakiwa yamezingirwa maji.
MVUA ya muda mfupi iliyonyesha jijini Dar es Salaam na maeneo ya jirani asubuhi ya leo iliyaacha maeneo mengi yakiwa yamejaa maji na kusababisha shida kubwa kwa wakazi wa jiji hili.  Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na kadhia hiyo ni Bamaga-Mwenge ambako mitaro yenye kusafirisha maji ilijaa na maji kufurika hadi katika barabara na kufanya magari na waenda kwa miguu kupata shida.

(Na Gabriel Ng’osha/GPL)

No comments:

Post a Comment