Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 13, 2015

VANESSA MDEE APATA AKAUNTI MTANDAO WA VEVO,SASA ANAWEZA WEKA VIDEO ZAKE HUKO

Baada ya msanii Gosby kuwa mwanamuziki wa kwanza kufanikiwa kazi zake kukubalika kwenye mtandao wa Vevo na kupewa account ili awe anaweka kazi zake, sasa time hii wamiliki wa mtandao huo wamekubali pia kazi za Vanessa Mdee ambapo Jan 12 waliweka video ya single yake iitwayo Hawajui.

Jana kupitia Instagram Vanessa Mdee aliwahabarisha


 mashabiki wake kuhusiana na kupewa account hiyo na kuandika ‘Watch #Hawajui on my Vevo channel – link in bio‘– @vanessamdee

No comments:

Post a Comment