Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 19, 2015

PICHA::APOKEA KICHAPO HEVI AKIDAIWA KUMLAWITI MTOTO ARUSHA

NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti 


mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.

No comments:

Post a Comment